
Mgeni
rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda akizungumza mjini Dodoma
katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA
ambalo linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari
na Vyuo Vikuu hapa Nchini wenye mazingira magumu.

Mgeni
rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda akikaribishwa katika
Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo
linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari na Vyuo
Vikuu hapa Nchini wenye mazingira magumu.

Mkurugenzi
kutoka Wizara ya Elimu, akiongea katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo
la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo linahusiana na kuwafadhili
Watoto wa Kike wa Shule za Sekondari na Vyuo Vikuu hapa Nchini wenye
mazingira magumu.


Mgeni rasmi akiwa na Wafanyakazi pamoja na Wanafunzi wanaofadhiliwa na Camfed Tanzania.

Wanafunzi wa Sekondari wanaosomoshwa na shirika la Camfed Tanzania.

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomeshwa na shirika la Camfed Tanzania.
No comments:
Post a Comment