December ni mwezi ambao Clouds Fm inasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo leo vipindi mbalimbali vya Clouds Fm vimekuwa na ugeni tofauti tofauti ikiwemo Power Breakfast ambayo imemuhoji MD Joseph Kusaga alieelezea changamoto mbalimbali walizokutana nazo kwenye hii miaka 15 ya Clouds FM na mafanikio pia.
Wengine ni waliokuwa watangazaji wa Power Breakfast Masoud Kipanya na Fina Mango ambapo leo walikua live kwenye Power Breakfast, ambapo kwenye Leo Tena kuna ugeni wa Khadija Kopa, Diamond Sound na Tx Junior.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw. Joe Kussaga akiwa na Gerald Hando |
Joe Kussaga Akizungumza katika kipindi cha Power Breakfast |
Masoud Kipanya na Fina Mango |
Watangazaji waliokuwa wakikiongoza Vema kipindi cha Powerbreakfast miaka ya nyuma , Masoud Kipanya, Fina Mango na Gerald Hando |
Masoud Kipanya , Husna Abdul na Fina Mango |
Suka akiwa selfie isha Tira Philip na mwenzake.... |
Muonekano wa Studio za Clouds fm, Kutoka Kushoto ni Barbara Hassan, MD Ruge Mutahaba , Joe Kussaga na Gerald Hando |
No comments:
Post a Comment