Kocha wa Simba, Patrick Phir akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na
Francis Dande)
Emmanue Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.
Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa Yanga.
Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji waSimba.
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Simba.
Kocha wa Yanga MarcioMaximo akitafakari.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu
Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0.
Waziri
wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi
nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani
Jembe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.
Umati wa mashabiki wa Yanga.
Umati wa mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza kuwakejeli watani zao.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'
Beki wa Yanga, Kelvin Yondan akimiliki mpira.
Mwamuzi wa mchezo huo akimuonyesha kadi ya njano mshambuliaji wa Simba, Simo Serunkuma.
Kpah Sherman akiokoa moja ya hatari langoni mwake huku Elius Maguri akimzonga.
Mshambuliaji wa Simba Emmanule Maguri akichuana na beki wa Yanga, Nadir Haroub.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza.
Hassan Isihaka (kushoto) na Ramadhani Singano 'Messi' wakishangilia bao la kwanza la timu yao.
Beki wa Yanga, Oscar Joshua akimtoka Elius Maguri wa Simba.
No comments:
Post a Comment