Mkurugenzi
wa Idara ya Uboreshaji Afya kutoka Taasisi ya Wamnawake na Maendeleo,
WAMA, Dkt. Sarrah Maongezi akiwasilisha mada kwenye mkutano maalum wa
wadau mbalimbali wa usonji (Autism) uliofanyika jijini Dar es Salaam
tarehe 16.12.2014 ili kuzungumzia hali halisi ya tatizo la usonji na
changamoto zake hapa nchini ili kujenga mfumo bora wa huduma kwa watoto
wenye usonji.

Daktari
Kissah Mwambene kutoka Chama cha Madaktari wa Afya ya Akili (MEHATA)
akitoa uzoefu wa chama chao katika kushughulikia masuala ya watoto walio
na usonji hapa nchini kwenye mkutano wa wataalam na wadau wa ugonjwa
huo uliofanyika\ tarehe 16.12.2014.
Makamu
wa Rais Mwandamizi Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya
sayansi kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia uboreshaji wa
huduma kwa watu wenye matatizo ya usonji duniani,( Autism Speaks) akitoa
taarifa kuhusu shughuli na miradi ya Shirika hilo lenye makao makuu
yake New York nchini Marekani.
Katibu
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Daud Nassib akiongoza
majadiliano kwenye mkutano wa wataalam na wadau wa Usonji uliofanyika
jijini Dar es Salaa tarehe 16.12.2014.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma
Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Profesa Andy Shih, Makamu wa Rais
Mwandamizi kutoka Shirika la Autism Speaks aliyemtembelea Mama Salma
ofisini kwake
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na
wajumbe wa mkutano maalum ulioandaliwa na Taasisi yake kuhusu tatizo la
hapa nchini.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na
wajumbe wa mkutano maalum ulioandaliwa na Taasisi yake kuhusu tatizo la
hapa nchini.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mwandamizi
Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya sayansi kutoka shirika la
Autism Speaks lenye Makao Makuu yake huko New York nchini Marekani.
Profesa Shih akifuatana na Dkt. Kra Reagan walimtembelea Rais Kikwete
huko Ikulu
ais

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Profesa Andy Shih aliyemtembelea huko Ikulu
PICHA NA JOHN LUKUWI.
No comments:
Post a Comment