Kikundi
cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya
kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika
kwenye shamba hilo la ushirika la Mkotokuyana wilaya ya Nachingwea.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wakulima wa
kikundi cha Umoja Rika kilichopo Mkotokuyana ,Nachingwea.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakulima wa kikundi
cha Umoja Rika kilichopo Mkotokuyana,Nachingwea mkoani Lindi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendesha treka kulima shamba la
ushirika la Mkotokuyana huku akiwa amempakia Mbunge wa Jimbo la
Nachingwea Ngugu Mathias Chikawe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kung'oa visiki katika shamba la Mkotokuyana wilayani Nachingwea.
Sehemu ya shehena ya Korosho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia korosho kwenye
ghala ambalo hapo awali ilikuwa kiwanda cha korosho cha Nachingwea .
Kiwanda cha Mafuta ya Ufuta Ilulu Nachingwea ambacho sasa kinatumika kama ghala ya kuhifadhia vifaa vya umeme.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji
cha Mandai ambao walieleza shida ya maji,zahanati pamoja na ofisi ya
Serikali .
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Teknolojia : Kabudi Apongeza Waandishi wa Habari
-
Waandishi wa Habari 'Bloggers' kutoka Tanzania Bloggers Network (TBN)
ambao wameshiriki kikamilifu kwenye Kamati ya maandalizi ya mkutano huo
wakiwa k...
MERIDIANSPORTS WAMETISHA TENA JANGWANI.
-
KAMPUNI bingwa ya kuchapisha makala ya michezo Mtandaoni Meridiansports imefanikiwa
kutoa na kurudisha kwenye jamiii kwa mara nyingine ambapo leo wam...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment