Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani)
wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kwa
mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari wakati
alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Wahariri wa Gazeti la Mwananchi mara baada ya kumalizika
mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari yaliyofanyika
kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mhariri
wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa
mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Wahariri hao baada ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment