Michezo : Mashindano ya Malecela Cup 2014 Yamalizika Jimbo la Same Mashariki - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 7 November 2014

Michezo : Mashindano ya Malecela Cup 2014 Yamalizika Jimbo la Same Mashariki


Mgeni rasmi katika mashindano ya John Samwel Malecela 2014,mbunge wa viti maalum Ester Bulaya(mwenye kofia) akiwa na mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela wakati wa fainali ya mshindano hayo iliyofanyika katika uwanja wa Mamba Myamba wilayani Same. 
Mgeni rasmi katika mashindano ya John Samwel Malecela 2014,mbunge wa viti maalum Ester Bulaya(mwenye kofia) wakifurahia jambo na mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela wakati wa fainali ya mshindano hayo iliyofanyika katika uwanja wa Mamba Myamba wilayani Same.
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela akiongozwa na katibu wa chama cha soka wilaya ya Same Nathaniel Msangi kwenda kukagua timu za sekondari ya Parane na Ntenga zilizokuwa zikicheza mchezo wa fainali ya kwanza.

Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Ntenga.
Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Parane.
Mbunge Anne Kilango akitoka kukagua timu za sekondari za Parane na Ntenga.
Wachezaji wa timu za sekondari za Parane na Ntenga wakiimba wimbo wa Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa fainali.
Kikosi cha timu ya Ntenga sekondari.
Kikosi cha timu ya Paranae Sekondari. Kwa Picha Zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment