Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais
Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma.
Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa
Mlimani jijini Dodoma tayari kwa mkutano wake na
wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza
na Rais Kikwete maswala kadhaa ya maendeleo.
Wimbo wa Taifa.
Ngoma
ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa
mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Sehemu
ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Meza
kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa
mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa
Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa
Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala
kadhaa ya maendeleo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment