Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi. |
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni. |
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia. |
Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao wakipewa zawadi wakati wa hafla hiyo ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni. |
Mbunge Mbatia akitangaza kiasi cha mchango wake katika ujenzi wa Bweni ambapo alitangaza kutoa kiasi cha shilingi milioni 10 ,pembeni yake ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi akifurahi . |
No comments:
Post a Comment