Mtangazaji mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga na kituo cha Radio
kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7 cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu
katika kikosi chao.Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky
Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni mwa
watangazaji hodari nchini mwenye kipaji cha hali ya juu hivyo kuongeza
chachu ya mafanikio katika kituo hicho kipya.“Gardner ataendesha kipindi kiitwacho Ubaoni kuanzia saa tisa alasiri
mpaka saa moja kamili jioni kuanzia Jumatatu ya tarehe 03 mwezi wa 11 mwaka
huu”alisema Kanky
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment