TANZIA:Muigizaji wa Filamu Nchini Mzee Manento Afariki Dunia. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 30 October 2014

TANZIA:Muigizaji wa Filamu Nchini Mzee Manento Afariki Dunia.


Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali Pema .amina

No comments:

Post a Comment