
Ajali
mbaya imetokea leo majira ya saa kumi jioni huko maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru
jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda mjini na Roli la
mafuta. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa
hiace iliyokuwa ikijaribu kuovataki ikakutana uso kwa uso na lori hilo. Katika ajali hiyo
watu zaidi ya 10 wamepoteza maisha hususan waliokuwa katika Hiace.
Magari yaliyopata Ajali
Magari yaliyopata Ajali
![]() |
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA. |
No comments:
Post a Comment