MAMA TUNU PINDA APATA NONDOZZZ - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Oct 2012

MAMA TUNU PINDA APATA NONDOZZZ

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa  Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha.

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na baadhi ya wahitimu wa mahafali hayo yaliyofanyika jana Kibaha mkoani Pwani
 Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika Kibaha.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad