Uapisho : Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amuapisha Jaji George Masaju, Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Sunday, 15 June 2025

Uapisho : Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amuapisha Jaji George Masaju, Dodoma

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.









No comments:

Post a Comment