Kampuni
ya SimbaNET (T) Limited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa
bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo
na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula kunywa na kuchezo michezo
ya aina mbalimbali ikiwepo soka, kuvutana kamba, kuogelea, muziki na
michezo mbalimbali ya watoto. Kampuni ya Seree ndio walikuwa waandaaji
wa tafrija hiyo iliyofanyika kwa mafanikio makubwa katika ufukwe wa
Hoteli ya Bahai Beach.
wafanyakazi na familia zao wakichukua kifuangua kinywa mara baada ya kuwasili bahari Beach Hotel
Hii ni trela tu...
Wafanyakazi wakipata kifungua kinywa.
Watoto wakifurahia na kushiriki michezo mbalimbali ya kuogelea.
Mgeni rasmi katika siku hiyo ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa SimbaNET (T) Limited, Rakesh Kukreja akisalimia wachezaji wa timu zote akifuatana na kamisaa wa michezo hiyo Patrick Nyembela.
Mchezo
wa kuvuta kamba ulifanyika kwa makundi mbalimbali kutokana na fulana
walizovaa. na Team ya weupe ndio waliibuka washindi. Picha zaidi Bofya FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment