Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Oktoba 19, 2014. |
Katibu
wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo.
Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher
Ngubiagai
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika Kongangamano
hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Nape amewataka wasomi kutofumbia
macho matatizo ndani ya CCM, badala yake wakati wakisifu mema wawe
mstari wa mbele kuyafichua na kuyakemea mapungufu ili chama kiende na
wakati
Katibu
Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Christopher
Ngubiagai akizungumza wakati wa kongamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere.
Mwenyekiti wa CCM tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,, Theodora Malata akizungumza mwanzoni mwa kongamano hilo
Washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa kongamano. (Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment