ZIARA YA RAIS :RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AONDOKA KUELEKEA VISIWA VYA SAMOA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 30 August 2014

ZIARA YA RAIS :RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AONDOKA KUELEKEA VISIWA VYA SAMOA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwana wa  Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume akielekea katika    Visiwa vya Samoa  kwa ziara ya siku tano.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment