
London are u ready?? This is a show
not to be missed Welcome back Chibu, come do ur thing kama kawa REPOST
FROM @diamondplatnumz: "LONDON!!!!!! you Better be ready for this
one!... @AfricaUnplugged Sep14th O2 Academy Brixton.. I said O2 ACADEMY
BRIXTON!!!!... [ Honestly Nimebahatika kufanya show nyingi sana Uk,
lakini kiukweli show hii nimeipania sana... Nia na Lengo langu kubwa ni
kuuonesha Ulimwengu kuwa ni kias gani East Africa tumejaaliwa uwezo
kwenye sanaa ya Muziki...Tafadhari kama ni mkazi wa UK ama una ndugu ama
jamaa neishi UK, naomba umfikishie ujumbe huu ili kwa pamoja tareh
14/09/2014 tujumuike pale O2 Academy na kushuhudia burudani nzuri toka
kwa mtoto wenu @diamondplatnumz akiwa na Rafiki zake toka #NIGERIA"



No comments:
Post a Comment