TUZO ZA WATU : SALIM KIKEKE , MILLARD AYO ,LULU ,KING MAJUTO WANG'ARA KWENYE TUZO ZA WATU ILIYOFANYIKA SERENA HOTEL, JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Jun 2014

TUZO ZA WATU : SALIM KIKEKE , MILLARD AYO ,LULU ,KING MAJUTO WANG'ARA KWENYE TUZO ZA WATU ILIYOFANYIKA SERENA HOTEL, JIJINI DAR ES SALAAM


Mtu wetu wa nguvu "Millard Ayo" akifurahia Tuzo 
Burudani ikiendelea ndani ya Ukumbi uliopo Serena Hotel katika sherehe za utoaji wa Tuzo za watu
Wadau wakifuatilia Tuzo za Watu
Jimmy Kabwe akiendelea Kutangaza
Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto) akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabeth Michael maarufu kama "Lulu"mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora wa Kike anayependwa.
Salama Jabir akiwa juu ya Steji kwa ajili ya kukabidhi tuzo ya Muongozaji Bora wa Video anayependwa iliyo kwenda kwa NISHER kutoka Arusha
Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili Kutoka BBC Salim Kikeke akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wadau wake
Faraja Kota Nyalandu (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mrs Mengi Kylin
Wakurugenzi wa Bongo 5
Babu Tale akipokea tuzo ya Video bora Kwa Niaba ya Msanii Diamond Ambae hakuwepo katika Utoaji Tuzo hizo. Nyimbo ya (My Number one) ya Diamond Ndio Nyimbo inayopendwa
Mustafa Hassanali (Kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Lady Jay Dee Tuzo ya Video Bora ya Yahaya
Wadau wakifuatilia Sherehe za Utoaji Tuzo hizo zilizofanyika jana katika Ukumbi uliopo katika hoteli ya Serena
Watangazaji wa Clouds Media group , Adam Mchomvu, Millard Ayo na B12  wakijadiliana jambo wakati wa sherehe za utoaji tuzo za Watu.
Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hicho na Kipindi cha Amplifaya kuwa kipindi bora kinachopendwa na watu.
Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti
Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo
King Majuto akifurahi mara baada ya kupokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad