MUZIKI WA NYUMBANI : VIDEO MPYA YA WIMBO WA "GERE" WA KUNDI LA WEUSI UMETOKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 2 May 2014

MUZIKI WA NYUMBANI : VIDEO MPYA YA WIMBO WA "GERE" WA KUNDI LA WEUSI UMETOKA

Weusi(Joh Makini,Nikki wa Pili,G Nako) wameachia video ya wimbo wao 'Gere' iliyofanyika nchini Kenya.Muongozaji wa video hiyo anaitwa Enos Olik,kwenye video hii rapper wa Kenya Rabbit, Colo wamehusika ndani ya video hiyo.

UTIZAME WIMBO HUO HAPA

No comments:

Post a Comment