Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa
utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa
Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu
Julis Nyerere jijini Dar es salaam. Pamoja naye ni naibu Waziri wa
Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja
wa wadau wa afya kutoka katika kundi la marafiki wa maendeleo. pamoja
na kitabu hicho pia kuna jedwali (score-card) la alama za ufuatiliaji
wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa
Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu
Julis Nyerere jijini Dar es salaam. Pamoja naye ni naibu Waziri wa
Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na wagemi wengine
wakifuatilia maelezo wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza
kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika
ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es
salaam. Pamoja naye ni naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen
Kebwe.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati
wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya
watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere
jijini Dar es salaam. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment