MUZIKI WA TZ UMEVUKA BORDER : DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW LONDON JUMAMOSI HII 17 MAY 2014. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 16 May 2014

MUZIKI WA TZ UMEVUKA BORDER : DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW LONDON JUMAMOSI HII 17 MAY 2014.


Hey watu wangu wa London Diamond Platnumz pamoja na team yake nzima ya Wasafi wakisindikizwa na Ommy Dimpoz watakuwa na show Jumamosi hii pale pale Oasis Barking, alipokuwa afanyie last week. Kingilio ni £20 only karibuni tusupport wakwetu. Kama unahitaji ticket tuwasiliane inbox(JESTINA GEORGE) au whatsapp 07557304940/ 07473494441 / 07789725676 (business only please).
 
 
Confirmed @diamondplatnumz will be live in London this Saturday, alongside his full @wcb_wasafi crew for one Show Only This Sat 17thMay @The Oasis 6 Thames Road Barking London IG11 0HZ ##Supported By @ommydimpoz Tickets Available Now £20 contact me(JESTINA GEORGE) or Holla 07473494441 / 07789725676. How can u miss this. Come & see our award winning superstars doing what they do best. @ommydimpoz will launch his brand new video on the night.
Watu wangu wa UK mnaotaka kushine na t-shirt za WCB just like us tuwasiliane. Ziko chache sana just for £15 p+p or £10 kama utachukua toka kwangu tukionana you join the @wcb_wasafi family. Kuna rangi tofauti tofauti. Whatsapp on 07577304940 (business only please).

No comments:

Post a Comment