DKT. GHARIB BILAL AAGANA NA MABALOZI WALIOMALIZA MUDA WAO NCHINI, AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ADDIS ABABA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 4 October 2013

DKT. GHARIB BILAL AAGANA NA MABALOZI WALIOMALIZA MUDA WAO NCHINI, AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ADDIS ABABA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,  kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya mazungumzo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es  Salaam,kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na OMR

No comments:

Post a Comment