
Tukio hilo limetokea juzi saa mbili usiku jirani na mahakama ya mwanzo ya Utemini mjini Singida. Awila
ambaye amelazwa wodi 2 katika hospitali ya mkoa amedai kuwa baada ya
kukutana na kijana huyo aliamuriwa kutoa fedha na baada ya kudai hana,
jibu hilo lilisababisha kijana huyo kuanza kumkata Mapanga na
alipoanguka na kuzirai alinyang’anywa simu yake ya kiganjani .
Hata hivyo Awila amedai kuwa bado hajatoa taarifa ya tukio hilo polisi.
No comments:
Post a Comment