FRANCIS CHEKA APONGEZWA NA VIONGOZI MBALI MBALI MJINI MOROGORO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 September 2013

demo-image

FRANCIS CHEKA APONGEZWA NA VIONGOZI MBALI MBALI MJINI MOROGORO

IMG_0538
 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera Akimpokea Bondia Francis Cheka wakati akiwasili uwanjani  katika halfa ya kumpongeza Bondia huyo aliyenyakua Ubingwa wa Dunia Kwa Kumchapa bondia kutoka Marekani.

IMG_0677
IMG_0676
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akikabidhiwa Mkanda wa Ubingwa wa Dunia kutoka kwa Bondia Francis Cheka Mjini Morogoro
IMG_0761
Bondia Francis Cheka akitoa neno la Shukrani na Pembeni yake Ni Mke wa Bondia Huyo
IMG_0640
Kocha wa Bondia Huyo Aliyefahamika kwa jina la Komando Akisema Machache wakati wa Halfa hiyo.
IMG_0891
Mkuu wa wilaya ya Mvomero na rais wa Riadha Tanzania Mh Antony Mtaka Akisema machache
IMG_0912
Akizungumza katika hafla Mkuu wa Mkoa Mh Joel  Bendera alisema  ushindi wa Cheka ni sifa kwa tanzania katika  mchezo wa ngumi. Bondia Francis Cheka amezawadiwa kiwanja  mabati, na Tani moja ya saruji.Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *