Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano cha NBC, William Kallaghe (kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wenzake katika hafla ya uzinduzi wa huduma za kifedha za NBC kwa kutumia fedha ya kichina. Mgeni rasmi
alikuwa Balozi wa China nchini, Dk. Yu Youqing.
Ofisa
Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Maharage Chande
(kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha benki hiyo, Jane
Dogani (kushoto), wakifurahia wakati mmoja wa wateja wao, Amin Juma
(katikati) akijibiwa swali alilouliza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo. Kwa picha zaidi Bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment