Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la
Makazi. Kongamano hilo limefunguliwa Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo, jijini Arusha.
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo, jijini Arusha.
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo, jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Ukumbi wa Bunge la Afrika
Mashariki, baada ya kufungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la
Makazi, lililofunguliwa jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua Maonyesho ya Kongamano la Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la
Makazi. Kongamano hilo limefunguliwa leo jijini Arusha. Kulia ni Waziri
wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya Tree Ltd ya
Arusha, Magdalena Ayo, kuhusu utengenezaji wa Majiko Bomba, wakati
Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya Kongamano la
Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani,
kuhusu suala la Makazi, lililofunguliwa leo jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati
akiondoka baada ya kufungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la
Makazi, jijini Arusha.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu. Picha zote na OMR
No comments:
Post a Comment