MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 142 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Feb 2013

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 142

Mama Salma Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi wa Montage Ball Limited Bi. Teddy Mapunda
Kutoka Kushoto Ni Josephat Lukaza wa Lukaza Blog na Ahmad Michuzi wa Jiachie Blog akifuatiwa na Henry Mdimu wakimuvuzisha matukio wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwaajili ya wanawake wenye mahitaji maalumu Tanzania iliyofanyika Jana Katika Hoteli ya Serena
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage (iliyoandaa hafla hiyo),Teddy Mapunda akimpa zawadi ya heshima Mgeni Rasmi,Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete mara baada ya kuifanikisha vyema tafrija hiyo maalum ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia wanawake wenye matatizo ya afya hapa nchini kupitia mfuko wa Montage Charity Ball,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam,aidha katika tafrija hiyo iliyofana sana kiasi cha shilingi milioni 142 na laki tano zimepatikana. Source : Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad