Naibu
Waziri wa Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia Mh.January
Makamba akitoa hotuba wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi
walioshinda shindano la kuandika Insha na Uchoraji Sayansi (Dstv
Eutelsat Star Awards) washindi wane kutoka shule za sekondari
walishinda baada ya kufanyika mchuano mkali ambao ulishirikisha zaidi
ya wanafunzi 1000 katika shule mbalimbali za Afrika nzima,shindano hilo
la tuzo liliandaliwa na MultiChoice kwa kushirikiana na Eutelsat
Communications.hafla hiyo ilifanyika kwenye Hotel ya Hyyat Kilimanjaro
jijini Dar es salaam.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Multchoice ,Bi.Barbara Kambogi(kulia)katibu
Mhutasi Multichoice(kushoto)Revina Bandihai.wakifuatilia kwa umakini
hotuba iliyokuwa ikitolewa na Naibu waziri wa Mawasiliano , Sayansi na
Teknolojia Mh.January Makamba wakati akitoa hotuba katika hafla ya
kuwapongeza washindi wa Dstv Eutelsat Star Awards.
Meneja
masoko wa Multchoice Furaha Samalu(kushoto)na Meneja masoko wa kampuni
ya simu Zantel Awaichi Mawalla.wakiwa katika hafla hiyo.
Naibu
waziri wa Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia Mh.January
Makamba (watatu kushoto nyuma) Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw.
Peter Fauel(wakwanza kulia nyuma)wakiwa kwenye picha ya pamoja na
vingozi wengine,mbele kulia ni wanafunzi walioshinda tuzo ya Dstv
Eutelsat Star.
No comments:
Post a Comment