MKURUGENZI WA WAZALENDO 25 BLOG APATA NONDOZZZ YA UANDISHI WA HABARI. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Nov 2012

MKURUGENZI WA WAZALENDO 25 BLOG APATA NONDOZZZ YA UANDISHI WA HABARI.

Kuingia Ukumbini sasa...Karibu sana
Mkurugenzi wa WAZALENDO 25 BLOG akiwa na uso wa ndiyo ..mara baada ya kuhitimu Diploma yake ya Uandishi ,Utayarishaji wa vipindi vya Redio na Televisheni (Diploma in Journalism,Television and Radio Production) katika mahafali ya tano ya Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha(Arusha Journalism and Training Centre).
Mr. Gadiola Emanuel nikiwa na wenzangu kutoka katika Redio na Televisheni tofauti hapa Tanzania tukipata nondozz zetu kutoka katika Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha.
Gari langu......!!!!
Meza kuu; kutoka kushoto ni Madam Neema Mwaipela ,Mr. Samboto ambao ni wakufunzi wa chuo,Mgeni Rasmi Mr. Bill Mushi ambae ni mjasiriamali na bilionea kutoka jiji la New York Marekani, ila ni Mtanzania ,Mr. Joseph mayagila ambae ni Mkurugenzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha (AJTC) na Adson Kagiye ambae ni Mratibu wa Elimu chuoni.
Elimu ni popote na kwa watu wote...!!!
Mtoto wangu kipenzi Glory Gadiola Emanuel
Kusoma na Familia ni kazi ngumu na inaitaji moyo sana...!!!


Nawashukuru Wakufunzi wangu na Mkurugenzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha.
Chezea cheti  wewe...??haupati kwa Umbea au Ubinafsi...!!!
Hongera mdogo wangu wa ukweli...
Hongera Mdogo wangu
Hongera Mume wangu....kusoma na familia ni kazi nzito!!!
Familia yangu hii hapa...!!!kulia ni Mke wangu Kipenzi Upendo Mwakobela na Mwanangu Glory na Kushoto kwangu ni Dada yangu .
Kugonga Nondozz ni Raha ,hasa ukiwa na changamoto za maisha.

Wageni waalikwa....wakisikiliza kwa umakini...!!!
Picha ya pamoja na wakurugenzi na wakufunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari Arusha.

Wageni waalikwa na mdogo wangu Mary P. Mollel ambae tulipata wote Nondozz . Picha na maelezo ni Wazalendo 25 Blog (www.wazalendo25.blogspot.com),kwa kazi zako piga namba hizi: 0755 643 633 au 0715 643 633.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad