![]() |
Nimeshafika salama Johannesburg ,South Africa leo, Mungu akijalia nitairusha AMPLIFAYA leo, kesho na wiki ijayo kutokea huku. tuko pamoja watu wangu wa nguvu. |
UKWELI KUHUSU UMEME KUTOKA KENYA
-
Baada ya kauli ya Rais Samia ya kununua umeme kutoka Kenya, kumeibuka
mjadala mkali.
Nimemtafuta mtaalamu serikalini afafanue. Naye ameniambia hivi: Unu...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment