KENYA : MAKAMU WA RAISI ATEMBELEA NANDI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 14 November 2012

KENYA : MAKAMU WA RAISI ATEMBELEA NANDI

Makamu wa raisi wa Kenya Mhe. Kalonzo Musyoka akiwapungia wananchi wa kaiboi na kapsabet huko Nandi ,alipotembelea huko na kufungua ofisi ya chama chake cha 'WIPER DEMOCRATIC MOVEMENT' leo.
Makamu wa raisi wa Kenya Mhe. Kalonzo Musyoka akisherehekea ngoma na wazee wa mila za jadi wa kapsabet huko Nandi, katika kampeni zake za kuimarisha chama chake leo.

No comments:

Post a Comment