Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Majaji Wapya Wa Mahakama Kuu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 19 June 2012

Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Majaji Wapya Wa Mahakama Kuu


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Francis Mutungi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Jacob Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Joaquine Antoniette De-Mello kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji Kiongozi Mhe Fakihi Jundu pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowaapisha leo Juni 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh Angela Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Mwanasheria Mkuu wa Serikali JAji Werema na Jaji Kiongozi Mhe Fakihi Jundu pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowaapisha leo Juni 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment