APOSTLE DUSTAN H. MABOYA ATAYAONGOZA MAFUNDISHO YA VALENTINE DAY-SOMBETINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Saturday, 11 February 2012

APOSTLE DUSTAN H. MABOYA ATAYAONGOZA MAFUNDISHO YA VALENTINE DAY-SOMBETINI ARUSHA

Askofu wa makanisa ya Calvary Assemblies of God, Ndugu Dustan H. Maboya  anatarajia kutoa semina ya neno la Mungu hasa katika siku ya Wapendanao yaani Valentine Day,hivyo wewe na mwenzako unakaribishwa ili mpate mema mengi yanayohusu Mapenzi na Ndoa.  Semina hiyo itafanyika katika kanisa la Jesus Power Miracle Centre-Sombetini Arusha,kuanzia saa tisa kila siku.

Askofu Dastun H. Maboya akisisitiza jambo kwenye mkutano wa injili huko Sombetini-Arusha.

No comments:

Post a Comment