Taswira Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 31 January 2012

Taswira Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CCM)Rita Mlaki(katikati)Kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega Titus Kimani Kwenye Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo
Waziri Mkuu Akifurahia Jambo Kwenye Mazungumzo na kati yake na Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Adam Malima(Wa tatu Kulia),Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila (Wa Pili Kulia)na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby 
 Na H@ki Ngowi

No comments:

Post a Comment