Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam na kupokewa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman nyuma yake, Spika Anne Makinda (anayepeana nae mikono, na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment