Chadema Wazindua Kampeni Rasmi Jimbo la Uzini Zanzibar, Freeman Mbowe na Dk Wildrod Slaa Waudhuria Mazishi Wadi Ya Bambi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 31 January 2012

Chadema Wazindua Kampeni Rasmi Jimbo la Uzini Zanzibar, Freeman Mbowe na Dk Wildrod Slaa Waudhuria Mazishi Wadi Ya Bambi


 Mwenyekiti  Wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi Wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe akisalimiana na Wadau mbalimbali Uzini Zanzibar
 Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa akisalimiana na Wadau mbalimbali Uzini Zanzibar
Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Mwenyekiti Wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi Wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa wakitoka Kuhudhuria maziko kwanye wadi ya Bambi eneo jirani na ulipofanyika mkutano wa uzinduzi kampeni.
Wadau mbalimbali Wakiudhuria maziko kwanye wadi ya Bambi eneo jirani na ulipofanyika mkutano wa uzinduzi kampeni.
Wadau Mbalimbali walishiriki kwenye Mkutano wa uzinduzi kampeni  za CHADEMA Jimbo la Uzini Zanzibar Juzi.
Picha na Mdau Wa Mjengwa

No comments:

Post a Comment