Moto wa Dar Live Wazidi Kupamba Moto Khadija Kopa, Tip Top Connection Wafunika - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 16 January 2012

Moto wa Dar Live Wazidi Kupamba Moto Khadija Kopa, Tip Top Connection Wafunika

Shaaban Dede, Msondo.
Waimbaji mahiri wa Msondo Ngoma, Dede, Gurumo na TX Jnr.
Safu ya unenguaji ya TOT ikiongozwa na Khadija Kopa jukwaani.
Khadija kopa wa TOT akichana mipasho.
Tip Top wakiwapa raha masela wa Mbagala.
Kiongozi wa Tip Top Connection Madee akipagawisha mashabiki wa Mbagala.
Madee juu ya jukwaa.
Denso wa Tip Top akiwa jukwaani.
Mkata nyonga mahiri wa TOT taarab, Queen Emmy akifanya vitu vyake jukwaani.
Watoto wakishindana ku dance ndani ya Dar Live.
Mashabiki ndani ya Dar Live.
Watoto wakijiachia ndani ya Dar Live.
Bwawa la watoto la kuogelea ndani ya Dar Live.
Ndani ya kiwanja cha Dar Live mashabiki wakila bata..

No comments:

Post a Comment