Rais Jakaya Kikwete leo ametembelea Morogoro vijijini na kuzindua madaraja mawili makubwa katika mto Mtombozi, Matombo, na mto Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, pia ameweka jiwe la msingi la soko la kijiji cha Mtamba na kukagua ujenzi wa barabara sehemu ya Kisaki, Msalabani. Rais Dk. Jakaya akielekea jukwaani kuhutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba, Morogoro vijiji
Rais Dk. Jakaya akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012
Rais Dk. Jakaya akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini huku akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro baada ya kulizindua Joel Bendera
Na full shangwe blog
No comments:
Post a Comment