KWA UDHAMINI WA VODACOM, SECAT, BATOO NA BARISTA PUB & GRILL - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 3 November 2011

KWA UDHAMINI WA VODACOM, SECAT, BATOO NA BARISTA PUB & GRILL

Kaa tayari kujiachia na Inter College Bash  ndani ya mji wa Arusha.Ukiwa umeshatinga katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid utakutana na watoto wakali, marafiki wa sasa, zamani na wapyaaaa!! na zaidi show itapigwa ya ukweli duh!! usikose Jombaa!!

No comments:

Post a Comment