JAMANI ...SAMAHANI WADAU WA BLOG YANGU NILIPOTEA KIDOGO KWA SABABU YALIYOKO NJE YA UWEZO WANGU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 November 2011

JAMANI ...SAMAHANI WADAU WA BLOG YANGU NILIPOTEA KIDOGO KWA SABABU YALIYOKO NJE YA UWEZO WANGU


C.E.O wa blog ya wazalendo25 na gadiola25 nikitulia kwa masikitiko ya kuibiwa Laptop,Iphone na Modem yangu na watu nisiowajua.ila ninawaombea kwa Mungu awape wezi hao Neema na Baraka Tele. Bado nawapenda sana na Mungu atanipa Nyingine.Poleni wadau!!!


No comments:

Post a Comment