Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akiwa na baadhi ya warembo walioshiriki shindano la Miss Tanzania 2011 waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana akitokea jijini London Uingereza alikoshiriki shindano la urembo la Dunia Novemba 6,2011. Warembo hao toka kushoto ni Jenifa Kakolaki, Alexia William, Hussna Maulid na Hamisa Hussein. |
TANESCO KIGAMBONI YATOA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA SHULE YA MSINGI
MALAIKA
-
📍TANESCO yawapa wazazi na waalimu elimu ya nishati safi ya kupikia kwa
umeme
📍Jiko la Nishati safi ya kupikia latolewa kuendelea kuhimiza matumizi ya...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment