BUNGE LA TANZANIA : DKT. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA NA KUKAGUA UKARABATI WA MAJENGO YA BUNGE MJINI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Feb 2014

BUNGE LA TANZANIA : DKT. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA NA KUKAGUA UKARABATI WA MAJENGO YA BUNGE MJINI DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya Siti za kukaa ndani ya ukumbi wa Bunge mjijini Dodoma wakati alipotembelea na kukagua kampuni inayokarabati na kufanya marekebisho kwa ajili ya kupokea wajumbe wa Bunge la katiba linalotarajia kuanza baadaye mwezi huu.
 Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kipaza sauti katika moja ya siti za ukumbi huo.
 Muonekano wa siti za ukumbini humo baada ya marekebisho.Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad