Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea nakala ya uteuzi kugombea nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya
Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele katika Ofisi za Tume
hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025. Kushoto ni Mgombea Mwenza
Dkt. Emmanuel John Nchimbi
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini fomu ya maadili mara baada ya kurejesha kwa fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025 katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Fomu za kugombea nafasi ya Rais Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025. Kushoto ni Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel John Nchimbi.






No comments:
Post a Comment