Michezo : Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Azungumza na Wachezaji wa Simba na Viongozi wao Ikulu Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 26 September 2024

Michezo : Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Azungumza na Wachezaji wa Simba na Viongozi wao Ikulu Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhia Jezi ya Timu ya Simba na Nahodha wa Timu hiyo Mohammed Hussein, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-9-2024.


WACHEZAJI wa Timu ya Simba na Viongozi wao wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wachezaji hao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-9-2024, kwa ajili ya mazungumzo na kumsalimia, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Timu ya Azam utakaofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 26-9-2024.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment