Matukio : Rais Samia Awahutubia Wananchi wa mji wa Ifakara, Mlimba , Malinyi na Ulanga Mkoani Morogoro - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

5 Aug 2024

Matukio : Rais Samia Awahutubia Wananchi wa mji wa Ifakara, Mlimba , Malinyi na Ulanga Mkoani Morogoro


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Ifakara, Ulanga, Mlimba na Malinyi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.


Matukio mbalimbali wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633