Biashara : TRA, Wafanyabiashara wa Kichina Wafanya Mazungumzo Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 25 August 2024

Biashara : TRA, Wafanyabiashara wa Kichina Wafanya Mazungumzo Jijini Dar


 

 



Kikao kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwaelimisha mambo mbali mbali ya kikodi pamoja kutafuta ufumbuzi wa changamoto walizonazo katika ulipaji wa kodi.
 Kikao kikiendelea  kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam.
Kikao kikiendelea.

Kikao kikiendelea.
Baadhi ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina wakiwa katika Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment