Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifahamisha Jambo wakati akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZNAIZBAR.17/07/2024.
No comments:
Post a Comment