Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi
akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa
yaliyofungwa rasmi na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi
akipata maelezo kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa
yaliyofungwa rasmi na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Bi Latifa M. Khamis.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi
akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa
yaliyofungwa rasmi na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment