Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2020 kutoka kwa Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, katika halfla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 21,2021. Rais aliipongeza Tume
kwa kuratibu na kusimamia uchaguzi huo Mkuu wa mwaka 2020 kwa ufanisi mkuu.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma
taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021.
Makamishna
wa Tume na wageni mbalimbali waalikwa wakifutailia hafla ya kukabidhi ripoti ya
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 iliytokabidhiwa
kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 wa Urais, Ubunge na Udiwani. Hafla ya kukabidhi ripoti hiyo ilifabyika , Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021.

Viongozi mbalimbali walihudhuria hafla hiyo yua kukabidhi ripoti ya Uchaguzi kwa Rais
Viongozi mbalimbali walihudhuria hafla hiyo yua kukabidhi ripoti ya Uchaguzi kwa Rais
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst), Mbarouk Salim Mbarouk na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Dk. Wilson Mahera Charles wakifuatilia hutuba ya Rais.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo (kushoto) akiwa kwenye hafla hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia hotuba.
Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia hotuba.
Viongozi wa Juu wa Serikali wakifuatilia hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.Picha mbalimbali za pamoja
No comments:
Post a Comment